Breaking News

Brazil yaiadhibu Argentina ,Neymar hatari tupu


Brazil  wakingozwa na nyota wa klabu ya Barcelona Neymar wamefanikiwa kuifunga timu ya taifa ya Argentina ambao ndio wapinzani wao wakubwa mabao 3-0 katika mchezo wa kuwania kufuzu kucheza fainali za kombe la dunia mwaka 2018 nchini Urusi.
 Mabao ya Brazil yalifungwa na Coutinho dakika ya 25,Neymar dakika ya 45 na Paulinho dakika ya 59.Ushindi huo umeifanya Brazil kuendeleza wimbi lao la ushindi katika mechi 5 mfululizo

                                VIKOSI VYA TIMU ZOTE MBILI





No comments