Breaking News

Chelsea wanamaananisha kweli kweli.


Unazungumzia timu kushindana kuwania kubeba ubingwa wa ligi kuu Uingereza?? Timu zinazoshiriki mtifuano huo zipo 20 lakini katika harakati za kuwania ubingwa huo Chelsea wameonyesha na kuthibitisha kweli wanautaka ubingwa wa ligi hiyo kwa kushinda mechi ya 10 mfululizo usiky wa kuamkia leo baada ya kuilipua Sunderlamd kwa bao moja bila majibu.
 Goli hilo pekee lililowafanya Chelsea kuongeza pengo la pointi kati yake ni timu inayofuata kufikia pointi 6 lilifungwa na kiungo wa Hispania aliyetupiwa virago kwenye klabu yenye sifa ya kujua kuucheza mpira kutoka Hispania Barcelona,Cesc Fabrigas kunako dakika ya 40 ya mchezo.Goli hilo pekee lilidumu mpaka mwisho wa mchezo

Vikosi vya timu zote mbili vilivyoshiriki mechi hiyo na alama za kila mchezaji kwa mchango na uwezo aliouonyesha kwenye mechi hiyo


Sunderland: Pickford (7), Jones (7), Van Aanholt (7), Djilobodji (6), Kone (6), O'Shea (6), Denayer (6), Kirchhoff (5), Januzaj (7), Borini (6), Defoe (6)

Subs used: Love (6), Larsson (6), Khazri (6)

Chelsea: Courtois (8), Azpilicueta (6), David Luiz (6), Cahill (6), Moses (8), Kante (7), Fabregas (9), Alonso (7), Willian (8), Diego Costa (7), Pedro (7)

Subs used: Ivanovic (6), Chalobah (6), Matic (6)

Man of the match: Cesc Fabregas

No comments