Breaking News

Manchester utd yaipiga Man City 1-0.



Baada ya mwisho wa wiki iliyopita kupata kipigo cha mabao 4-0 toka kwa klabu ya Chelsea,mashetani wa jijini london Manchester utd wameifunga klabu ya Man city bao 1-0 katika michuano ya EFL na hivyo kuiondosha rasmi klabu hiyo kwenye michuano hiyo.

Aliyepeleka majonzi kwa klabu hiyo inayoongozwa na kocha mwenye misimamo mikali Pep Guardiola ni kiungo Juan Mata aliyeifungia Man utd bao dakika ya 54 katika mchezo ambao ulihudhuriwa na mashabiki 75196

No comments