Breaking News

We st Ham wameifundisha soka Chelsra kwa kuwapiga 2-1 EFL.


Klabu ya West ham imezima shangwe na furaha waliyokuwa nayo Chelsea baada ya kuifunga Man utd 4-0 kwa kuwaondoa kwenye michuano ya EFL kwa kuwapa kipigo cha mabao 2-1

Katika mchezo huo uliochezwa usiku magoli ya West Ham yalifungwa dakika ya 11 kupitia kwa mchezaji Kouyate na goli la pili dakika ya 48 kupitia kwa Edimilsoni Fernandes.
  Goli la Chelsea lilifungwa dakikapya 90 ya mchezo likifungwa na Gary Cahil.
Vikosi vilivtoanza kwenye mchezo huo hivi hapa chini



No comments