Breaking News

Alichokisema Donald Trump baada ya kushinda uraisi Marekani







Akihutubu baada ya ushindi, Trump amesema: "Naahidi kila raia wa taifa hili letu kwamba nitakuwa rais wa kila Mmarekani. Na hilo ni muhimu sana kwangu.
"Kwenu ambao mliamua kutoniunga mkono siku za nyuma, na kulikuwa na watu kadha, ninaomba ushauri wanu na nitamuomba tusaidiane ili tuweze kufanya kazi kwa pamoja na kuunganisha taifa hili letu tukufu."

No comments