Haya ndiyo Murinho aliyomwambia Conte baada ya mechi na kipigo cha 4-0.
Baada ya mechi baina ya Man utd na Chelsea kumalizika na Chelsea kushinda magoli 4-0 kocha wa Man utd Jose Mourinho alimfuata kocha wa Chelsea kwaajili ya kupeana naye mkono na kisha akaonekana akiongea jambo kwa kocha huyo.
Hiki ndicho alichokisema "Goli moja bila sawa lakini kushangilia magoli 4-0 ni aibu kwetu" alisema Mourinho kumwambia Conte.

No comments