Breaking News

Barcelona mambo magumu,yazidi kuisogezea ubingwa Madrid






Klabu ya barcelona ya nchini Hispania imeshindwa kupunguza pointi na kuwakaribia Real madrid walioko kileleni mwa ligi ya Hispania baada ya kulazimisha sare ya 1-1 dhidi ya klabu ya Real Sociedad katika mchezo uliofanyika kwenye uwanja wa Anoeta.
  Walikuwa ni Sociedad walioanza kufunga goli dakika

No comments