Breaking News

Breaking news: Trump amteu mwanamke wa kwanza UN






Donald Trump amemtuea mwanamke wa kwanza kabisa kumpa wadhifa wa ngazi za juu tangu amechaguliwa kuwa raisi.Trump amemchagua aliyekuwa gavana wa jimbo la calorina ya kusini kuwa balazi wa Marekani kwenye umoja wa mataifa.
 Taarifa zinasema kuwa familia hizo mbili zilifanya majadiliano ya siri na kwamba mwanamama huyu aliomba kupewa nafasi hiyo baaada ya Trump kushinda.Mazungumzo yalikuwa ni ya siri kwani Trump bado hajaapishwa na hivyo sheria bado hazimruhusu kufanya kila kitu kwa uwazi.

No comments