Breaking News

Chelsea sio wa mchezo mchezo





Klabu ya soka ya Chelsea imeendeleza wimbi la ushindi ikiwa kwenye uwanja wake wa nuymbani kwa kuipiga Tottenham mabao 2-1 katika mechi ambayo wanablues hao walitokea nyuma mara baada ya kutangulia kufungwa goli la kwanza.
 Image result for chelsea beat tottenham 2-1 yesterday


 Katika mchezo huo Tottenham ndiyo walikuwa wa kwanza kufunga goli dakika ya 11 likifungwa na Erikseni na huku mpira ukiwa unaelekea mapumziko Pedro akaisawazishia Chelsea katika dakika ya 45 ya mchezo.
  Alikuwa na mnigeria Victor Mosses aliyeipa ushindi Chelsea baada ya kufunga goli la pili kataika dakika ya 51 ambalo ndilo lililoipa ushindi klabu hiyo.
Kwa matokeo hayo hiyo imekuwa rekodi mbaya kwea Tottenham kwani wanamiaka zaidi ya Iahirini tangu walipoifunga Chelsea kwenye uwanja wake wa nyumbani

No comments