Breaking News

VIDEO:Hospitali ya Kisarawe mtoto afungwa POP mguu tofauti na ulioumia




Mkazi wa kijiji cha Masaki wilayani Kisarawe ameituhumu hospitali ya wilaya hiyo kukosea kumfunga plasta ngumu (POP) mwanae ambapo walimfunga mguu wa kushoto wakati mguu wenye shida ni mguu wa kulia.
Akizungumza na ITV mkazi huyo Rajabu Ramadhani amesema mtoto wake aligongwa na pikipiki na kuumia


No comments