Vikosi vinavyoanza leo Man utd VS Arsenal ligi kuu Uingereza
Ligi kuu ya Uingereza leo itaisimamisha dunia kwa dakika 90 kushuhudiwa mchezo mkali kati ya timu mbili kubwa nchini humo Manchester uited ambaopwatakuwa nyumban kuwakaribisha Arsenal.
Hivi hapa chini ni vikosi vya timu zote mbili vitakavyoshirikipmchezo huo ambao ni muhimu kushinda kwa kila timu ili kujiweka kwenye msimamo mzuri wa ligi.



No comments