Breaking News

Wanasayansi waliopiga kura wakiwa anga za juu uchaguzi Marekani.



Mwana anga za juu wa Nasa Shane Kimbrough, ambaye yupo katika Kituo cha Kimataifa cha Anga za Juu, alipiga kura yake kutoka anga za juu kupitia kituo kilichopo Houston, Texas.
Mwenzake Kate Rubins pia alipiga kura kutoka anga za juu wiki chache zilizopita, kabla yake kurejea duniani Jumapili.
Sheria ilipitishwa Texas mwaka 1997 kuwezesha watu kupiga kura wakiwa nje ya dunia.
David Wolf alikuwa Mmarekani wa kwanza kupiga kura kutoka anga za juu mwaka huo.

No comments