Breaking News

Breaking news:Ndege iliyokuwa na wachezaji wa timu kutoka Brazil imeanguka wakielekea Colombia kucheza fainali






Ndege iliyokuwa na watu 72 wakiwamo wachezaji wa klabu ya soka ya nchini Brazil iitwayo Chapecoense imeanguka wakati ikikaribia mji wa Medellin nchini Colombia ambako timu hiyo ilikuwa inaenda kucheza mechi ya fainali ya michuano ya South American club cup dhidi ya timu kutoka Colombia kwenye mji huo wa Medellin iitwayo Atletico Nacional.
 Kufuatia ajali hiyo mechi hiyo ya fainali imeahirishwa.

No comments