Breaking News

Dani Alves avunjika mguu.


Beki wa kulia wa klabu ya soka ya Juventus Dani Alves alishindwa kuendelea na mchezo zikiwa zimebaki dakika 14 mpira kumalizika baada ya kupata majeruhi kqwnye mguu wake wakati akiitumikia klabu yake ya Juventus dhidi ya Genoa katika mchezo ambao Juventus walikubali kipigo cha mabao 3-0 kutoka kwa Genoa.
 Mwanzo haiukuonyesha kama mchezaji huyo ameumia sana lakini baada ya vipimo kufanyika taarifa kutoka kwenye klabu ya Juventus inasema lchezaji huyo amevunjika mguu wake tofauti na ilivyokuwa imedhaniwa mwanzo.

No comments