Guardiola anatamani kuona Pique anakuwa raisi wa klabu hii.
Kocha wa klabu ya Manchester city yanchini Uingereza Pep Guardiola amesma anatamani kuona beki wa klabu ya soka ya Barcelona Gerald Pique akiwa raisi wa Barcelona siku zijazo.
Wawili hao walifurahia kipindi cha mafanikiopya klabupya Barcelona ambayo wakati huo ilikuwa ikifundishwa na kocha huyo mwenye sifa pia ya kuwa na misimamo mikali.
Akizungumza na waandishi wa habari kocha huyo alinukuliwa akisema anatamani mwana ndinga huyo ambaye pia ni mume wa mwanamuziki mashuhuri duniani Shakira akiwa raisi wa klabu ya Barcelona huku akiweka bayana kuwa atampigia kura.

No comments