Breaking News

Madrid yapiga 2-1 na kutinga hatua ya 16 bora


Ikiwa na mchezaji nyota Christian Ronaldo ambaye jana alirudi nyumbani na kuitumikia klabu yake ya sasa ya Real Madrid dhidi ya timu yake ya zamani ya Sporting Lisbon katika mechi ambayo iliisha kwa Madrid kushinda magoli 2-1.
Katika mechi hiyo Raphael Varane alikuwa wa kwanza kuiandikia Madrid goli la kwanza dakika ya 29 tu  baada ya kuanza kipindi cha kwanza.Baada ya bao hilo Sporting ilizidi kuwawia ngumu baada ya beki wake Joao Pereira kutolewa nje kwa kadi nyekundu baada ya kuonekana akimpiga Mateo Kovacic tumboni.

 Bale gets treatment on an ankle injury



Zikiwa zimesalia dakika 3 mpira kumalizika Karim Benzema aliifungia Madrid goli la pili na la ushindi katika mchezo huo ambao ulishuhudia mchezaji Gareth Bale akipata majeruhi ya kifundo cha mguu katika kipindi cha pili.Baada ya mechi hiyo hivi ndivyo msimamo wa kundi F ulivyo.


             MAGOLI MADRID VS SPORTING


#

No comments