Breaking News

PICHA:Moto mkubwa umezuka nchini Israel na kuzua hofu.

Maelfu ya watu wamelazimika kukimbia makwao baada ya moto mkubwa kuendelea kuenea na kukaribia kufika katika mji wa Haifa, kaskazini mwa nchi hiyo.

 Moto Haifa, Israel, Alhamisi, Nov 24, 2016

No comments