Wale mashabiki wa Man utd waliojificha chooni wametoa video itazame hapa.
Ile ishu ya mashabiki wa Man utd ambao pia ni wanafunzi waliokua wameenda kwaajili ya Tour kwenye uwanja wa Old Traford na kisha ulipofika muda wa kuondoka wakaamua kujificha vyooni siku hiyo ya ijumaa ili waweze kushuhudia mchezo kati ya Arsenal na Man utd.Hatimaye mmoja kati ya mashabiki hao ametoa video ikionyesha jinsi walivyojificha chooni.Itazame hapa chini
No comments