Breaking News

Gundogan kuwa nje ya uwanja kwa miezi kadhaa.



Mchezaji tegemeo wa klabu ya soka ya nchini Uingereza ya Manchester city Ilkay Gundogan huenda akawa nje ya uwanja kqa miezi kadhaa kufuatia kuumia alipokua akiitumilia klabu ya ke ya Manchester ci+y kwwnye mechi ya ligi kuu Uingereza dhidi ya Watford.
Katika mchezo huo Gundogan alitolewa dakika ya 44 ya kipindi cha kwanza na nafasi yake kuchukuliwa na Fernando.
Mchezaji huyo amepata jeraha la goti na kocha mkuu wa klabu hiyo Guardiola amethibitisha kuumia kwa mchezaji huyo na kusema watamkosa kwa miezi kadhaa.

No comments