Breaking News

Manchester City wazindukia kwa Watford.


klabu ya manchester city imezinduka baada ya kupokea vipigo mfululizo wiki iliyopita kwa kufanikiwa kuifunga klabu ya Watford katika mfululizo wa mechi za ligi kuu Uingereza maba/ 2-0 kwenye mchezo uliochezwa usiku wa kuamkia leo.
Magoli ya Manchester city yalifungwa kila kipindi huku goli la kwanza lkkifungwa dakika ya 33 na mchezaji Paul Zabaleta na kufanya kipindi cha kwanza kumalizika city wakiwa mbele kwa goli moja.
Katika kipindi cha pili alikuwa ni mhispania Davud Silva aliyeiandikia city goli la pili na la ushindi na kuifanya ci+y kuondoka na pointi zote tatu,likifungwa dakika ya 86.

Vikosi vya timu zote mbili vilivyoshiriki mchezo huo na alaama alizopata kila mchezaji kwa mchango/uwezo aliouonyesha


Man City: Bravo (6), Zabaleta (8), Otamendi (7), Kolarov (7), Clichy (7), Gundogan (6), Toure (6), De Bruyne (7), Sterling (8), Silva (8), Nolito (6)

Subs: Fernando (6), Navas (n/a), Sane (n/a)

Watford: Gomes (6), Janmaat (5), Prodl (5), Britos (5), Holebas (4), Pereyra (5), Guedioura (5), Capoue (6), Amrabat (6), Ighalo (4), Sinclair (4)

Subs: Zuniga (5), Success (6), Deeney (5)

Man of the match: David Silva

No comments